Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nadhani ninaipenda zaidi biriani kuliko pilau.
Wiki hii lazima nitengeneze seafood biriani.
Wiki hii lazima nitengeneze seafood biriani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ninaipenda zaidi biriani kuliko pilau.
Wiki hii lazima nitengeneze seafood biriani.
Mie napenda pilau zaidi, since utoto up to now, ila nisilipike mimi.Hahahahah upike nyingi tu hata me napenda biriani zaidi ila pawe na salad pembeni
Mie napenda pilau zaidi, since utoto up to now, ila nisilipike mimi.
Ni kweli aisee, ila sasa kikilala kinakuwa kiporo tena[emoji134]Chakula upikacho mwenyewe mimi naona kama huwa hakinogi ukikila siku hiyo hiyo.
Nadhani ni kwa vile unakitayarisha mwanzo mwisho.
Ndo maana wakati mwingine huwa nikipika msosi siuli siku hiyo hiyo.
Naula kesho yake na unakuwaga mtamu sana.
Ni kweli aisee, ila sasa kikilala kinakuwa kiporo tena[emoji134]
Yaani acha kabisa, kiporo ni kitamuuu ila sasa ni majanga kwa afya.Totoz hujui kuwa viporo ndo huwa vitamu zaidi? Hujawahi kula wali maharage kiporo?
Chakula upikacho mwenyewe mimi naona kama huwa hakinogi ukikila siku hiyo hiyo.
Nadhani ni kwa vile unakitayarisha mwanzo mwisho.
Ndo maana wakati mwingine huwa nikipika msosi siuli siku hiyo hiyo.
Naula kesho yake na unakuwaga mtamu sana.
Ni kweli aisee, ila sasa kikilala kinakuwa kiporo tena[emoji134]
Duuuh! Mie bado siwezi aisee, nikishakipika siwezi tena kula, kesho yake ndio nakienjoy.Nahisi unakua umeshibia harufu jikoni me hiyo ilikua zamani ila siku hizi napika nkimaliza napakua tena nakienjoy hasa
Aiseee chapati sijawahi, kumbe! I'll try thisKuna vyakula vikilala vinazidi utamu cha kwanza chapati
Oooh na ukikipasha vizurii yaani moto uingie vizuri si kinakuwa poa tu?Hakina neno kikilala usiku mmoja muhimu ni jinsi gani unakihifadhi unatakiwa utafute vibakuli maalum vyenye ufuniko kwa ajili ya left overs muulize kaka Nyani ngabu akupe tips zaidi
Farkhina mbona sikupati instagram???
Naomba unitajie jina unalotumia pliiiz i love cooking siku iz ad najishangaa yani nimekua nagoogle mapishi mbalimbali changamoto ni recipe ambazo nyingine sijawahi ata kuona [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Nimebadili jina