maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy birthday kwako mkuu
mmmhHappy birthday mkuu, Mungu akujaali kila lenye kheri maishani
Vipimmmh
litakua limeanza tenaVipi
Jino lauma ama
Pole sanalitakua limeanza tena
mmmh
litakua limeanza tena
Vipi
Jino lauma ama
Sijui hata, mie memuuliza tuu kuona mgunoKwani alikua anaumwa jino halafu shemdarling mbona pm umenikimbia
Sijui hata, mie memuuliza tuu kuona mguno
hv nmekimbia enhee acha nirud basKwani alikua anaumwa jino halafu shemdarling mbona pm umenikimbia
Na mie nakujahv nmekimbia enhee acha nirud bas
Umekimbia eenh bada ya kuomba hela ya sikukuu jamanihv nmekimbia enhee acha nirud bas
Na mie nakuja
Umeomba nini etiUmekimbia eenh bada ya kuomba hela ya sikukuu jamani
Hahaha hahahaEbu ngoja kwanza sijapewa hata hiyo hela umeona nimeomba na kanikimbia ebu subiri nipewe ndio ukuje