Birthdate 14 March

Birthdate 14 March

Sic March

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2019
Posts
690
Reaction score
906
Salaam kwenu wana jamv pendwa la Jamii forums

Binafs nichukue nafas hii adimu sana kuwashukuru kwa kuendelea kuwa pamoja nimejifunza mengi na nitaendelea kujifunza meng kupitia kwenu

Kuelekea siku ya kesho ambayo nitakuwa nafurahia kuongeza mwaka mwingine katika miaka niliyonayo nichukue nafas hii kuwashukuru wote wana jf kwa kuendele kunipa elimu na burudani kupitia kwenu najifunza mambo meng sana

Kuna muda nakuwa na matatizo lkn nikiingia humu nakuta wapo wengne wana matatizo makubwa kuliko mm hvo naona sina haja ya kuhuzunika nipige moyo konde nisonge mbele mungu ni wetu sote na hujibu kwa muda wake

Tuendelee kutiana moyo katika furaha n karaha tusisahau kuombeana

Hakuna mwana jf hata mmoja nishawah kumuona lkn huwa nikisoma thread naona kama tupo pamoja na tunajuana naamn ipo siku tutapata nafas hatabkwa mmoja mmoja kujuana kwa sura

Mimi sio mwandishi mzuri ila nashukuru sana kwa umoja wetu mungu atulinde daima [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

@sic march
Boy with mission

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una bahati ya kuangukia sherehe ya( PI day ) 22/7 au 3.14. Unatakiwa ujue mahesabu sana.
 
Hongera, umezaliwa siku moja na binti yangu!

Sent using Kitochi
 
Back
Top Bottom