Birthday aliyohudhuria Kagame yawafungua Waganda macho, ni maandalizi ya mtu kurithishwa urais na sio vinginevyo

Mtoto wa Rais aliye hudhuria mafunzo ya Ukomando akayamudu na kufanyakazi kama mwanajeshi akafikia cheo alichofikia akiwa Rais acha awe anastahili.
 
Uganda kama hakutatokea civil war sijui... Waganda hawana uvumilivu kama Watz.
 
... naona wanarithishana kana kwamba nchi ni ya familia hata aibu hawana! Museven anazeeka vibaya mno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…