Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, haya ni makosa ya uandishi au ndio kuandika kwako?Hizi ni rasha rasha mvua inanyesha rasimi kama linavyosema bangoView attachment 2201751
Jadili hoja ya msingi acha hoja za kipuuz ambazo hazikusaidii kituMkuu, haya ni makosa ya uandishi au ndio kuandika kwako?
Happybeth badala ya 'birth'
'Aliyouzulia' badala aliyo hudhuria,
'Kurisishwa' kurithishwa.
Japo muhimu ni kuelewa!
DuhJadili hoja ya msingi acha hoja za kipuuz ambazo hazikusaidii kitu
Labda ni Mganda huyu. Maana jamaa Kiswahili hawajui, Kiingereza hawajuiHappybeth _happy birthday
Aliyouzulia_aliyohudhuria
Kurisishwa_kurithishwa
Kwa uandishi huu bora ufe hata leo
Ndio mtindo wa kiafrika. Angalia Zanzibar, Congo, kenya... naona wanarithishana kana kwamba nchi ni ya familia hata aibu hawana! Museven anazeeka vibaya mno!
Sasa cheo si anapewa na baba yakeMtoto wa Rais aliye hudhuria mafunzo ya Ukomando akayamudu na kufanyakazi kama mwanajeshi akafikia cheo alichofikia akiwa Rais acha awe anastahili.
Hapana Sio ya kipuuzi!Jadili hoja ya msingi acha hoja za kipuuz ambazo hazikusaidii kitu
Hizi ni rasha rasha mvua inanyesha rasimi kama linavyosema bangoView attachment 2201751