Birthday Girl

kengeledoi

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2016
Posts
325
Reaction score
230
Habari wakuu

Poleni na majukumu ya kazi, naandika uzi huu kwa kua ni siku yangu muhimu sana napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima na afya njema mpaka leo.
Kwa wazazi wangu wapendwa napenda kuwashukuru kwa malezi yao bora toka nilipozaliwa mpaka umri huu.

Mwisho kabisa napenda kuwashukuru wakuu wa majukwaa yote, familia nzima ya Jamii Forum kwa upendo wenu, Karibuni sana kwa party jioni ya mwanafamilia mwenzenu.
 
Hongera sana naona hapo kwenye avatar umependeza kweli endelea hivo hivo
 
hahaaaaa sasa mwaka ndo nimemaliza jana ngoja nikacheki na zile holiday sijui itakuwaje mkuu itabidi nikikuta mambo mazuri uwe baba mlezi tu....
Labda niwe mjomba lakini baba mlezi naogopa kuombwa Ada.
Mungu akusimamie mpendwa akupe haja ya moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…