Birthday Girl

Birthday Girl

hapana utakuwa tu baba wa ubatizo ili umlee mtoto wako kwa maadili mema ujomba wa mbali akiwa binti si ndo utavunja kabisa ujomba
Haya bwn naona umenikalia vibaya ngoja niupokee huo ubaba wa ubatizo labda siku moja naweza kuwa baba mzazi wa mdogo wake.
 
Dah...Hongera sana...Mida si mrefu kuna biashara itafanyika....Wengine watachukua ng'ombe 100..wengine watachukua dem mmoja tu😀😀😀😀😀😀😀
 
Habari wakuu

Poleni na majukumu ya kazi, naandika uzi huu kwa kua ni siku yangu muhimu sana napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima na afya njema mpaka leo.
Kwa wazazi wangu wapendwa napenda kuwashukuru kwa malezi yao bora toka nilipozaliwa mpaka umri huu.

Mwisho kabisa napenda kuwashukuru wakuu wa majukwaa yote, familia nzima ya Jamii Forum kwa upendo wenu, Karibuni sana kwa party jioni ya mwanafamilia mwenzenu.
Happy birthday mkuu
 
Dah...Hongera sana...Mida si mrefu kuna biashara itafanyika....Wengine watachukua ng'ombe 100..wengine watachukua dem mmoja tu😀😀😀😀😀😀😀

asante mkuu, sa hivi ni kuelewana tu ila kwa hizo ng'ombe 100 lazima nikazae watoto 10 ili afidie kabisa ng'ombe zake😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Dah..Ila safi sana..ng,ombe 100 siyo wa kimchezomchezo....Kila akiwakumbuka tu ni kichapo 😀😀😀😀
 
Habari wakuu

Poleni na majukumu ya kazi, naandika uzi huu kwa kua ni siku yangu muhimu sana napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima na afya njema mpaka leo.
Kwa wazazi wangu wapendwa napenda kuwashukuru kwa malezi yao bora toka nilipozaliwa mpaka umri huu.

Mwisho kabisa napenda kuwashukuru wakuu wa majukwaa yote, familia nzima ya Jamii Forum kwa upendo wenu, Karibuni sana kwa party jioni ya mwanafamilia mwenzenu.

Hongera kwa siku ya kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom