Birthday Girl

hapana utakuwa tu baba wa ubatizo ili umlee mtoto wako kwa maadili mema ujomba wa mbali akiwa binti si ndo utavunja kabisa ujomba
Haya bwn naona umenikalia vibaya ngoja niupokee huo ubaba wa ubatizo labda siku moja naweza kuwa baba mzazi wa mdogo wake.
 
Dah...Hongera sana...Mida si mrefu kuna biashara itafanyika....Wengine watachukua ng'ombe 100..wengine watachukua dem mmoja tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Happy birthday mkuu
 
Dah...Hongera sana...Mida si mrefu kuna biashara itafanyika....Wengine watachukua ng'ombe 100..wengine watachukua dem mmoja tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

asante mkuu, sa hivi ni kuelewana tu ila kwa hizo ng'ombe 100 lazima nikazae watoto 10 ili afidie kabisa ng'ombe zakeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dah..Ila safi sana..ng,ombe 100 siyo wa kimchezomchezo....Kila akiwakumbuka tu ni kichapo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahaaaaa ila mkuu nimeshaolewa maana ningekomaje na huu uchumi wetu.
 
Hongera kwa siku ya kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…