Sura chachuuuuHahahahahahahaha
Msura mchungu mchachuuu mzito kama futari ya magimbi
Akiyaleta atapewa kichambo heavyYa pm yabaki ukouko nokia na we usilete habari za screenshot hapa
Haha..umeona sikio lakin
Hiiiiiiiihii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha...uvundo wa kiman'gati shoo..huhuhu
Hahahaah umeghairi kuona sikio?Naona hutaki basi mama
Nimeipokea mdogo wangu. Ila ulinoga jamaani hadi nikajikuta naiwazia hiyo boda boda ulopanda. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha..Dada ake heshima yako
Hahahaaa. Sijui yuko wapi jamaani lol.Kush sijamtia machoni ..hata sijui anazururia wapi
Mtakuja bebishana na majini eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa..shoooo sio kwa mkomesho huo..nimekoma mie
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nione tu mdogo wangu.Dada hajar. Nakuona nakuonaa
Mtakuja bebishana na majini eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha Dada..ahsanteNimeipokea mdogo wangu. Ila ulinoga jamaani hadi nikajikuta naiwazia hiyo boda boda ulopanda. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mzima lakini?
HahahahahhaMtakuja bebishana na majini eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Amepotea kama sumniHahahaaa. Sijui yuko wapi jamaani lol.
Nimeamka salama ndugu yangu sijui weye?
Akiyaleta atapewa kichambo heavy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] whaaaatMuache aandike anachojisikia Mimi si ndio nimempa ruhusa??? Achana na mimi
Mtakuja bebishana na majini eti[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wacha umbea..hahaahaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] whaaaat
AhahahahahahahahahKumbe wakat ule unanikataa kwa nyodo kbs kuwa una wako humu kumbe ndio jamaa...[emoji23][emoji23][emoji15]
Kweli kila shetani na mbuyu wake
Umekosea penyeweee hahahahaNimemaaanisha hivi putin usinitoe kwenye reliii mbn hapo nimerekebisha
Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)