Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Jamani naona leo huu uziiUkiwa huna hela utakula kwa macho na shape hiyo unaanzaje kumpa kitoto hakieleweki sura bayaa sura ngumu akuchafue bora awe handsome basi hata kama hana hela utamvumilia na sura yake vyote kakosa sura hana hela hana
Hahaha wewe utanitumia ya mia khalifa au lisa annHe he ngoja nikutumie picha kwanza
Hahaha vip toto la kizigua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thank you lovieJamani naona leo huu uzii
Happy born day Yna
Nimewadharau ptyuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti Kaka ptyuuuuuuuu
Pugi jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
HahahahahahAibu jitu limefukuzwa
Safi mchagaHahaha vip toto la kizigua
Ahahhaahhahaha mi ningejiua jamaniHahahahahahahaha
Msura mchungu mchachuuu mzito kama futari ya magimbi
DuuuhUkweli mtupu shoga angu...kutiana shombo inahuu!!
Nishazoea misukosuko ya umbea kusuywa suna kwa mtoto wa kikeWacha umbea..hahaahaa
Haha..una balaa weyeMkumbuke ya kuwa, camera man wa hii picha ni Mjina Mrefu
Toobaaa, hiyo bouder bouder ITAPATA TABU SANAJumapili tulivu yenye kaubaridi ka kunyapianyapia...hahahah
Baada ya kusubiri mualiko kwa muda mrefu nakutana na mkausho wa hatariii...hahahaha
Nikaona sio mbaya wacha nijitowe out kidogo ..lol!!
Mara paap!! Shem hazard cfc amenivutia waya (akaninon'goneza) eti lakini iwe siri!!!....nitaweza kweli na nilivyo na kiraruraru..hahahaha nimeshindwa kuvumilia bana....
Dada Hajar
Buraza sesten zakazaka
Shoga angu shunie
Kipenzi ukhuty
Mdogo angu demiss
Hata nyinyi pia mnanificha mlipo!!??sasa nasemaje nimeshajikoki nachukua boda nakuja mlipo fastaaaaa!!..View attachment 816051
Sasa niliwasubiri eeeh nikaona hamkuji...nikadhani labda mlikua mmevimbiwa na urojo uko...ikanibidi tu nianze kuwasakaToobaaa, hiyo bouder bouder ITAPATA TABU SANA
Sisi tulikua tumekuja huku madukani kununua vitu tunataka tuje tukufanyie sapulaizi sasa wee unataka kuzurura na sisi, Wee tulia hapohapo birthday girl hazururi!πππ
Lakini bora machale yalivyokucheza maana ungekaa huko mapochopocho haya sijui kama yangekufikia huko maana kila mtu alikua anadokoa kivyakeSasa niliwasubiri eeeh nikaona hamkuji...nikadhani labda mlikua mmevimbiwa na urojo uko...ikanibidi tu nianze kuwasaka
Ahsantehappy birthday kwako
japo nimechelewa