Birthday girl

Birthday girl

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Jumapili tulivu yenye kaubaridi ka kunyapianyapia...hahahah

Baada ya kusubiri mualiko kwa muda mrefu nakutana na mkausho wa hatariii...hahahaha

Nikaona sio mbaya wacha nijitowe out kidogo ..lol!!
Mara paap!! Shem hazard cfc amenivutia waya (akaninon'goneza) eti lakini iwe siri!!!.
emoji15.png
emoji15.png
...nitaweza kweli na nilivyo na kiraruraru..hahahaha nimeshindwa kuvumilia bana....

Dada Hajar
Buraza sesten zakazaka
Shoga angu shunie
Kipenzi ukhuty
Mdogo angu demiss
Hata nyinyi pia mnanificha mlipo!!??sasa nasemaje nimeshajikoki nachukua boda nakuja mlipo fastaaaaa!!..View attachment 816051
Toobaaa, hiyo bouder bouder ITAPATA TABU SANA

Sisi tulikua tumekuja huku madukani kununua vitu tunataka tuje tukufanyie sapulaizi sasa wee unataka kuzurura na sisi, Wee tulia hapohapo birthday girl hazururi!😉😉😉
 
Sasa niliwasubiri eeeh nikaona hamkuji...nikadhani labda mlikua mmevimbiwa na urojo uko...ikanibidi tu nianze kuwasaka
 
Back
Top Bottom