Kaka putini soma comment zako zote mbn nierekebisha umetoka njee ya mada mm namwambia yna asije nikimbia tukikutana nikakuta keyboard yangu ina link tofaut na niliyonayo Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)Sasa nini maana ya hiyo kitu ??
Unajaribu kumtesa mawazo yake au unajaribu kutaka aww vile unavyotaka wee awe??
Nikajua unakumbuka kitu chamaana, kumbe umejaa UNAFIKI NA UNANG'AA .
Ebu kua kiakili.
Hahaaahhahaa
Love ilikua blind
00:05😛😛😛 Popoooz..
HahahaahhaNimemaaanisha hivi putin usinitoe kwenye reliii mbn hapo nimerekebisha
Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)
Etiii??Hii ni selfishness..., unafichaje mapokezi??..
Tumeona shape chupa ya konyagi, bado reception sasa.. Maliza kabisaEtiii??
Hahahaha...eti shela hili hapa..loh!Mtt ulikuwa unaona shela hili hapa
Ili ugundue nini mkuu?Tumeona shape chupa ya konyagi, bado reception sasa.. Maliza kabisa
Hahahaha...eti shela hili hapa..loh!
Au nimekosea jaman dada niombee radhi sasa hiviHahahaahha
Boss, kwan we uliweka huo mta*o ili ugundue nini?.Ili ugundue nini mkuu?
Huhuhu..ya nn mieHukupewa ahadi ya ndoa?!..mtt tu
Kuiburudisha nafsi yanguBoss, kwan we uliweka huo mta*o ili ugundue nini?.
Huhuhu..ya nn mie
Sawa mkuu.Kuiburudisha nafsi yangu
Hahahaha yani wewe ..una kisia tuJamaa kayafaidi haya mabunduki lkn
Hahahaha yani wewe ..una kisia tu
Umeniamulia leoUlikuwa bado hujampa?!..mh!