Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Kaka putini soma comment zako zote mbn nierekebisha umetoka njee ya mada mm namwambia yna asije nikimbia tukikutana nikakuta keyboard yangu ina link tofaut na niliyonayo Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)Sasa nini maana ya hiyo kitu ??
Unajaribu kumtesa mawazo yake au unajaribu kutaka aww vile unavyotaka wee awe??
Nikajua unakumbuka kitu chamaana, kumbe umejaa UNAFIKI NA UNANG'AA .
Ebu kua kiakili.