Birthday girl

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
Ukiwa huna hela utakula kwa macho na shape hiyo unaanzaje kumpa kitoto hakieleweki sura bayaa sura ngumu akuchafue bora awe handsome basi hata kama hana hela utamvumilia na sura yake vyote kakosa sura hana hela hana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ujue hii sio mara moja toka celebrity uko anafatwa anakuwa mnyonge akifatwa
Alafu kibaya huyu pug mm nilkuwa simjui kabisa nashangaa alivyokuwa ananifata popote nikasema kumbe huwa ananifatilia labda nilikuwa kwenye list alafu kuna lipug lingine jaman nilisahau jana kulisema labda lipo kwenye mitihan na lenyewe kiuno 10 sjakuona jf kitambooo pugiiii nililisahau vipi?
 
uwiiiii tusameheane mdogo wangu ulizani hata niliuona huu uzi nisamehe bure tu
 
Kakuona mnyonge wake ndio mana alikuwa anakufatilia kila sehemu na kukuquote acha huo uwoga wa kiboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…