Heavy Weight
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 888
- 885
Aisee! happy birthday mkuu vipi bumunda ushakata?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujanja Upi jamani..hahahahaUjanja wote huu [emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekata ila nimekubakishia kipandeAisee! happy birthday mkuu vipi bumunda ushakata?
Ujanja Upi jamani..hahahaha
Nimecheka hapa
Haaaaa umekazia !!Naweza kujilinda mwenyewe
Sasa msipotongozwa atongonzwe nani nyie si wanawake?Hahahaha ndio muache kutongoza ovyo
Hapo sawa itabidi unitumie kwa njia ya postaNimekata ila nimekubakishia kipande
Ahsante sana
Hahaahaha sawa endelea kutongoza ila utapata tabu sanaSasa msipotongozwa atongonzwe nani nyie si wanawake?
Naweza kujilinda mwenyewe
Mashalaaah!! izo bastolaJumapili tulivu yenye kaubaridi ka kunyapianyapia...hahahah
Baada ya kusubiri mualiko kwa muda mrefu nakutana na mkausho wa hatariii...hahahaha
Nikaona sio mbaya wacha nijitowe out kidogo ..lol!!
Mara paap!! Shem hazard cfc amenivutia waya (akaninon'goneza) eti lakini iwe siri!!!.[emoji15] [emoji15] ...nitaweza kweli na nilivyo na kiraruraru..hahahaha nimeshindwa kuvumilia bana....
Dada Hajar
Buraza sesten zakazaka
Shoga angu shunie
Kipenzi ukhuty
Mdogo angu demiss
Hata nyinyi pia mnanificha mlipo!!??sasa nasemaje nimeshajikoki nachukua boda nakuja mlipo fastaaaaa!!..View attachment 816051
mie msemaji tu wa wanyonge... huwezi kuta nagonga milango mlioifunga...Hahaahaha sawa endelea kutongoza ila utapata tabu sana
Hahahahaha ...wa mkoani wewe?Hapo sawa itabidi unitumie kwa njia ya posta
Hebu rudisha avatarSasa msipotongozwa atongonzwe nani nyie si wanawake?
Nikurushie uiweke?Hebu rudisha avatar
Pastor na wewe unakujaga hukuuuHapo sawa itabidi unitumie kwa njia ya posta
Jr ataidaka kabla haijafikaNikurushie uiweke?
HahahaahahaKhaaaaa ndo maana shemeji kadataaa
kuidaka ili ifanyeje?Jr ataidaka kabla haijafika