Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Assistant mod
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Assistant mod
Na mm nitanenepeshwa na umbea mniwacheee
Aache uwoga wa kijinga yaan kama mlinzi wake akipost kitu huyo hapo nyuma anaanza kushusha gazeti
[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman uwiiii sema shemej yenu mkali tu lakin hasikiii ingekuwa ndo kipindi kile nadanga kutafuta mabwana jf agghhhhhMuoga sana maskini. Labda ana siri nzito kabebewa
Mazoea ya kijinga hayo
Sema Demiss mtata kwenye nyuzi ila kwingine mstaarabu. Mpaka anamuita kaka kabisa ila bado mtu anamfuatilia tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio nimemuuliza ulituma machiu pm uko unaogopa kuanikwa
Aiseee.Toa hela babu tantalila nyingiii watu wanataka kulelewa
[emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman uwiiii sema shemej yenu mkali tu lakin hasikiii ingekuwa ndo kipindi kile nadanga kutafuta mabwana jf agghhhhh
Sema Demiss mtata kwenye nyuzi ila kwingine mstaarabu. Mpaka anamuita kaka kabisa ila bado mtu anamfuatilia tu.
Aiseee.
Najitahidi kulinda heshima ya shemeji yenu jaman ila siyo mbaya najaribu kuwa na mipaka palee mme anaposema mke wangu inatosha namsikiliza si mnajua akiniacha nan ataidaka tena pupuye?Sema Demiss mtata kwenye nyuzi ila kwingine mstaarabu. Mpaka anamuita kaka kabisa ila bado mtu anamfuatilia tu.
Hahahahahaaa. Kwahiyo umeacha kudanga?
Marahaba sweetie..Shikamoo T nimekuhamu mm jamani nimemiss mahela kwenye tigo pesa
Swalaama lakini dadaSema Demiss mtata kwenye nyuzi ila kwingine mstaarabu. Mpaka anamuita kaka kabisa ila bado mtu anamfuatilia tu.
Hahahah saivi nimeacha mwanzo nilkuwa nadanga mpaka nikapewa uenyekiti wa udangajiHahahahahaaa. Kwahiyo umeacha kudanga?
Kumbe kaka kamuacha? Ntamuuliza vizuri kaka kwanini kamuacha wifi yanguHivi si ameachwa jamani
Swalamaa shemeji. Udada huo vipi?? We shemeji yangu na tunakulagaSwalaama lakini dada
Wacha weee. Nipe darasa na mimi basi nataka niwe expert chamaniHahahah saivi nimeacha mwanzo nilkuwa nadanga mpaka nikapewa uenyekiti wa udangaji
Unataka nikukule na wewe?Swalamaa shemeji. Udada huo vipi?? We shemeji yangu na tunakulaga