Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,138
Ni kawaida kukuta reservation kwenye mabar, ma pub na maeneo mengi mashuhuri. Hawa wanaokutana as if ni jambo la maana Sana hivi mdg zangu wanachangia au Ndio mambo ya kifahari.
Naenda Zang maeneo nakuta Kuna reservation imewekwa🧐💅💅baada ya Muda naona mabox ya keki yakiingia. Ukiuliza ni nn eti birthday fac.ky. yaani unaacha kugharamia mambo ya maana birthday party????
Ukifuatikia Sana hukuti wazee wa miaka 37 au 40 take it from me ninyi madogo wa 30 achana na haya mambo, jichange ununue plot ujenge au Jenga pangisha nyumba yako upate pesa