Tofauti na matarajio ya wengi , Leo ni birthday ya mwanamuziki mkubwa nchini , Diamond Platnum's , hivyo watu walitegemea birthday wishes za kumiminika kutoka kwa mastaa wenzie, Ila hali imekau ndivyo sivyo , maana insta imepoa utadhani Leo sio siku maalumu ya Simba.
Unadhani watu wamefanya makusudi kutokana na kuchokwa na tabia yake chafu ya kutukana na kudhalilisha wanawake au ?
Mzazi mwenzie amepost kwenye ukurasa wake na kumwishi happy birthday diamond na kuandika hvi
" happy birthday mwenye vikima vyake"
Ebu toa maoni