Birthday ya diamond "KUDODA"

Birthday ya diamond "KUDODA"

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Tofauti na matarajio ya wengi , Leo ni birthday ya mwanamuziki mkubwa nchini , Diamond Platnum's , hivyo watu walitegemea birthday wishes za kumiminika kutoka kwa mastaa wenzie, Ila hali imekau ndivyo sivyo , maana insta imepoa utadhani Leo sio siku maalumu ya Simba.


Unadhani watu wamefanya makusudi kutokana na kuchokwa na tabia yake chafu ya kutukana na kudhalilisha wanawake au ?

Mzazi mwenzie amepost kwenye ukurasa wake na kumwishi happy birthday diamond na kuandika hvi

" happy birthday mwenye vikima vyake"

Ebu toa maoni
 
Ila birthday sometimes kwa mastaa huwa wanaona ni ufahari sana,wanatumia gharama kubwa kuandaa wanapopatwa na matatizo serikali linakuwa kimbilio lao
 
Kwani team Lyn hawajamposti...

Vikima vyake ndio...maana alimwita Kima mama yao,kima anazaa kima
 
We ndo umedoda....kila kitu kwa msaanii anayejielewav ni faida....hata kama kibaya...kinamchango wa kukuza brand
 
Anaenda kukarabat shule aliyosoma nanza jiran tandale
Anawakabidhi vijana bodaboda 20
Anawapa mtaji kina mama 200
Hii ndio birthday yake anavyoifanya mwaka
Huu

Wewe kijana wa kiume umefanya nini kwenye jamii yako?
 
Anaenda kukarabat shule aliyosoma nanza jiran tandale
Anawakabidhi vijana bodaboda 20
Anawapa mtaji kina mama 200
Hii ndio birthday yake anavyoifanya mwaka
Huu

Wewe kijana wa kiume umefanya nini kwenye jamii yako?
Duh uko makini sana kijana kumfuatilia kijana mwenzio.

Safi sana!
 
Back
Top Bottom