Bishanga kafiwa na Baba yake Mzazi

Bishanga kafiwa na Baba yake Mzazi

Poleni sana familia ya Bishanga kwa msiba mkubwa uliowapata. Msiba uko wapi?
 
Pole sana Bishanga na familia yako.

Mungu mwema awape faraja na nguvu wakati huu

Pumzika kwa amani Baba Bishanga!
 
Pole sana kaka kwa msiba.
Mwanga wa milele Mungu amwangazie na ampumzike kwa Amani!
 
Poleni familia yote,Mungu awape nguvu na faraja kipindi hiki kigumu, RIP baba.
 
Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    2.3 KB · Views: 59
Dena mbona hukurudi kuleta feedback hivi member mwenzetu akipata matatizo kama hayo hatuwezi kutafuta njia ya rambirambi hata zikipitia kwa Max?
 
Dena mbona hukurudi kuleta feedback hivi member mwenzetu akipata matatizo kama hayo hatuwezi kutafuta njia ya rambirambi hata zikipitia kwa Max?
Mi nashangaa wana JF wanaJF hata kwenye shida hakuna rambirambi embu hili tuliangalie upya
 
Back
Top Bottom