MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Bishoo ni Bishororo au BitozWasalaam
Kwa wale vijana wa kale yaani 1970s and early 1980S kuna hii sentiment ambayo mtu akiupara (akitupia pamba kwa lungha ya leo) au akiwa namna gani mwenye babes wakali (pisi) na ndinga kali basi anatupiwa neno la bishoo...