KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA.
Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama. Tukiwaambia hamna fitness couch mnaona tunapiga kelele. Sasa tunaenda kuelewana,Huyo mwamba wenu nae ni suala la muda tu. Endeleeni kulalamika kwamba mnakamiwa. Kama hamtaki kuguswa kachezeni DRAFT.
Kelele zenu hazitasidia kitu mazoezi ni kila kitu.