7-1 na Feisal amesajiliwa JKU kwa mudaNaamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA.
wewe mbelemwikonyumamwiko kwahiyo mnawatuma siyo!unavyofurahia utadhani wachezaji wa uto ni vyuma,kwani MAYELE SI ANACHEZANaamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA.
Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama.Tukiwaambia hamna fitness couch mnaona tunapiga kelele.Sasa tunaenda kuelewana,Huyo mwamba wenu nae ni suala la muda tu.Endeleeni kulalamika kwamba mnakamiwa.Kama hamtaki kuguswa kachezeni DRAFT.
Kelele zenu hazitasidia kitu mazoezi ni kila kitu.
Ushabiki wa bongo ni wa kiroho mbaya sana unaakisi maisha halisi ya watu yaani roho za kutu!!Mpira ni mchezo wa kiungwana, Ushabiki usipelekee kufurahia mchezaji kuumizwa Kwa maksudi. Rafu Moja mbaya inaweza kupoteza ajira ya mtu na ulemavu wa kudumu.
Kamuumize sasa
Huyu anaweza hata kushangilia KIFO chake kabisa.Mpira ni mchezo wa kiungwana, Ushabiki usipelekee kufurahia mchezaji kuumizwa Kwa maksudi. Rafu Moja mbaya inaweza kupoteza ajira ya mtu na ulemavu wa kudumu.
Huyo hawezi kuwa mzima kichwaniIle radu haiku hitaji uwepo wa kocha wa viungo ...ile rafu niya kumvunja mtu mguu
Uzuri mpira wa Bongo kuimba kupokezana. Ni suala la muda tu.Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA.