Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Matunda ya ccm na jiweGwajike vs Gwajime vs Job
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matunda ya ccm na jiweGwajike vs Gwajime vs Job
Unataka ku trend kama Hamza!Ila Bongo kutrend ni kugusa tu.
Ngoja zamu yangu inakuja.
Uzuri yeye tuhela twa mbogo alikuwa nato hata kabla ya kwenda Bungeni,hawa wakimfukuza Haina shidaGwajiboy hataki unafiki kabisa Kama mbwai na iwe mbwai
Ndivyo alivyowadanganya, angekimbilia siasa na kutoa ahadi za uwongo kabisa kwa wana-Kawe. Gwajima ana njaa kama Wanzania wote tulivyo na njaaa.Gwajima amekuwepo kabla ya ubunge so hana cha kupoteza!
mkuu, tazama muktadha basi nawewe basi usiitilie aibu jamii forum basi ionekane inakundi la watu aina yake, ficha uccm bwegewakoIle mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?
Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
Mi nashukuru kupitia hiyo unayoiita mipasho jpili ndo niliona clip video ya waziri wa afya na naibu wake wakielezea ubaya wa chanjo sikuwahi kuona!Ile mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?
Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
Alisema ameufunga ila km wataendelea na chokochoko na kunahitajika ufafanuzi kutoka kwake atatoa!Hawezi kuongea chochote kesho huu mjadala alishaufunga!
gwajima ni taperi mkubwa anawadanganya kondoo wakeIle mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?
Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
Maskini hafilisikiGwajima amekuwepo kabla ya ubunge so hana cha kupoteza!
Mambo ya Ngoswe yanakuhusu nini wewe?Ile mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?
Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
Huyu jamaa ni uozo wa kupitiliza.Jana rafiki yangu ambaye ni kabila moja na mimi na Bishop Gwajima pia amenimegea stori ndogo kuhusu Bishop Gwajima kuwa aligoma kujibu maswali yoyote yaliyohusu na mahubiri yake kanisani kwake akisema hayo ni mambo ya kiimani na hawezi kujibia kitu akiwa bungeni.
Ameendelea kuwaeleza kuwa ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu apewe Mungu, so mambo yake ya kanisani ni kanisani na ya bungeni ni ya bungeni, kwani hawezi kuchangamana na waovu kujadili mambo ya kanisani kwake bungeni. Amesema mkanda mzima wa mahojiano yake ni kesho jumapili kwa mdomo wake mwenyewe!
Hata kama atapoteza ubunge, yeye amesimama na Yehova wake!