Bishop Gwajima kuweka mahojiano yake wazi kesho. Anadai amewafumba midomo waovu

Ile mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?

Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
Hapo kwenye unabii wa uongo nakuunga mkono
 
Yehova hachangamani na mzinzi, mwongo, tapeli, mzushi na mwizi wa kura
 
Tatizo huwezi kutumia kanisa kama kichaka cha kuihujumu serikali.
 
Hata kama atafukuzwa Ubungr yeye atasimama na msukule wake Jiwe.
 
Ubunge waliopewa utawatesa sana
 
CCM walikuwa wanajua kuwa wana nafasi kubwa ya kushinda kiti cha Kawe kwa vile Mdee alikuwa ni mwanaharakati tu badala ya kuwawakilisha wana Kawe Bungeni. Tatizo la CCM ni kuwa waliondoa mwana harakati (Mdee) na kuweka tapeli (Gwajima). Ni afadhali wangemwachia mtoto wa dada yake Magufuli ambaye ndiye aliyekuwa ameshinda primaries.
 
Du! Ila awamu ya 5 ukabila ulishamiri kweli kweli!
 
Habari ya ukabila unaingiaje hapa?! Ujumbe wako ni mzuri kosa ni kuongelea habari ya kabila
 
mpaka sasa hapo mtu kasha kula

Gajima boy4-0 Gwajima&dugai
 
Mipasho maana take nini? Siku ukitakiwa kujibu kashfa ya kuita mahubili ni mipasho utakuwa tayari?? Kumbuka leo kwa Gwajima kesho kwako, Dunia ni duara, na Cyber crime haina mwenyewe
 
Ile mipasho aliyokuwa akiitoa kanisani kwake ndio mambo ya kiimani yale? akaenda mbali mpaka kumfukuza mtu kwenye ukoo wao ndio imani yenu hiyo?

Tumeaswa kujihadhari na manabii wa uongo.
Kweli hii mbaya sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…