PostGE2025 Bishop Gwajima ni CCM alikuwa mbele ya muda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Your browser is not able to display this video.


Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa

Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu.

Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya sauti hizi zilipokataliwa kusikiwa na watawala. Kama CCM na Samia wangemsikiliza Gwajima na kushtushwa na maonyo ya Tundu Lissu tusingefika hapa
 
Simia ni sikio la kufa na ana gundu.
 
Viongozi wa dini hutaki kuwa siskia
Wanachama wenzako hutaki kuwasikia
Wapinzani hutaki kuwasikia
Mashirika ya kibinadamu hutaki kuyasikia
Wananchi hutaki kuwasikia
Unamsikiliza kikwete Tu?

Na bado 😀
 
Tatizo tunawadharau sana watumishi wa Mungu. Mambo magumu yanakuja kwa sababu CCM bado wanaviburi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…