Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Siku ya Jumapili nilipokwenda kanisa, nikashusha watoto pale kanisani, Mungu akanipa hekima niwashushe kwanza watoto niende saloon kunyoa ndevu, haaa ! Kumbe wamejazana kila sehemu hawa watu hakuna chochote hakuna jambo la maana, wapo tu wananyemelea.
Nilipofika pale saloon walikuwa wamshafika, kilichonikoa kuna watu wampendao Mungu, wakawa wametoa taarifa kwa watu wanaotuzunguka kwamba wamefika watekaji hapo ulipo ondoka haraka, kwahiyo nikafanikiwa kuondoka kabisa na hapa ninapoongea nipo mkoa mwingine yani nipo nje ya Dar es salaam ili kuyanusuru maisha yangu amesema Bishop Dickson Kabigumila
Soma Pia: Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea
Ila niseme tu Tanzania mpya inakuja na nitaiyona, na wale wanafanya mambo ya kuteka watu kuua basi awatafanikia