Mhabarishaji
JF-Expert Member
- Oct 5, 2010
- 1,007
- 600
Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa
Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa
Imeandikwa wapi?Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa
Amesema Tanganyika huru lazima ipatikane ni
suala la muda tu
Nchi yetu imekuwa katika laana kwa muda mrefu
kwa sababu tumeshindwa kuilinda mipaka yetu
Moto wa kudai Tanganyika umewaka na hamna
mtu awezaye kuuzima. Awaonya watawala kusoma
alama za nyakati na amewataka kuiepusha nchi
kuingia katika machafuko kwa kuridhia Serikali ya
Tanganyika.
Pia amesema Nyerere sio Mungu naye ana
mapungufu yake wanaomuabudu wanakosea.
Kosa alilolifanya Nyerere ni kuruhusu kuunda
serikali hewa ya Tanzania bara ambayo kimsingi
haipo ukiliganisha na Zanzibar.
Amewaonya viongozi wanaopinga kurejeshwa
kwa Tanganyika kuwa wataitumbukiza nchi katika
machafuko.
...Hizo zilikuwa salamu za Pasaka alizozitoa leo
katika kanisa la FGBF Dar es salaam.
Aliendelea kusema,"Mungu aliyeumba ulimwengu, dunia ni mali yake(ZABURI 24:1). Akaeleza kwamba hatuna budi kufahamu kwamba, Mungu mwenyewe ndiye aliyefanya nchi au mataifa yapate kuwepo, na yeye ndiye aliyeweka mipaka ya nchi hizo. Akanukuu ZABURI 74:16-17,"Mchana ni wako, usiku nao ni wako, Ndiwe uliyeufanya mwanga na jua. WEWE ULIIWEKA MIPAKA YOTE YA DUNIA, Kaskazi na kusi Wewe ulizitengeneza."
hawa ndio viongozi wa dini , tuwatakao sio kama Mtetemela, Wainglikana umetufedhehesha pumb....a..v..u
Dini na siasa ni vitu viwili tafauti,ushauru wangu Askofu angalia neno la bwana acha siasa kwa wanasiasa
hawa ndio viongozi wa dini , tuwatakao sio kama Mtetemela, Wainglikana umetufedhehesha pumb....a..v..u
Aiyaa ametukana -umeenda mbali sana ndugu -wakristo Yesu tunamuombea pepo mchafu amtoke
Safi sana Kakobe, CALL A SPADE a SPADE and not A BIG SPOON