Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Hapo ndipo mtaelewa, Kwann Gwajima kafungiwa Kanisa Leo, na Chuma inakaidi inaendeleà na Ibada yake kama kawaida 🤣🤣Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia.
Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi.
Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na wanaompenda Mungu wamekataa katakata kuendelea kushuhudia masuala ya kidhalimu ya Utekaji na UUAJI yanayoendelea .
Watu hao wameamua Rasimi kuanzisha Vita dhidi ya Wahusika wa Udhalimu huo.
Na kwamba Kati ya Mwezi huu wa Sita Hadi mwezi 8 ndio utakua Mwisho mwisho wa Utekaji na Watekaji wake.
Habari gani Kwa Watekaji?? Bishop Kasema, Watekaji watauliwa wooooote yaan watekaji wote kwenye hiko kikundi watauliwa wooote kupoteza Ushahidi !!.
Bishop anawacheka 'Wametumiwa kama Pundaaa alafu wanauliwa kizembe '.
View: https://youtu.be/go_JQCoN2FI?si=5hdsJgp74LRc9taz
Bishop anasisitiza 'Maamuzi yameshafanyika ya kuumaliza Utekaji na Watekaji wake '.
Hapo ndipo mtaelewa, Kwann Gwajima kafungiwa Kanisa Leo, na Chuma inakaidi inaendeleà na Ibada yake kama kawaida 🤣🤣
Freedom is Coming !!!!
Bishop anasisitiza 'Maamuzi yameshafanyika ya kuumaliza Utekaji na Watekaji wake '.Huyu Bishop katika Tabiri zake zote aliwahi zitoa , zilitimia.
Leo amesema, Tena akisema, Vyombo vyote viiweke habari hii mitandaoni kwakua habahatishi.
Ni kua " Watu walioko kwenye Mfumo na wanaompenda Mungu wamekataa katakata kuendelea kushuhudia masuala ya kidhalimu ya Utekaji na UUAJI yanayoendelea .
Watu hao wameamua Rasimi kuanzisha Vita dhidi ya Wahusika wa Udhalimu huo.
Na kwamba Kati ya Mwezi huu wa Sita Hadi mwezi 8 ndio utakua Mwisho mwisho wa Utekaji na Watekaji wake.
Habari gani Kwa Watekaji?? Bishop Kasema, Watekaji watauliwa wooooote yaan watekaji wote kwenye hiko kikundi watauliwa wooote kupoteza Ushahidi !!.
Bishop anawacheka 'Wametumiwa kama Pundaaa alafu wanauliwa kizembe '.
View: https://youtu.be/go_JQCoN2FI?si=5hdsJgp74LRc9taz
Bishop anasisitiza 'Maamuzi yameshafanyika ya kuumaliza Utekaji na Watekaji wake '.
Hapo ndipo mtaelewa, Kwann Gwajima kafungiwa Kanisa Leo, na Chuma inakaidi inaendeleà na Ibada yake kama kawaida 🤣🤣
Freedom is Coming !!!!
Hata maiti yake haitaonekana sehemu yeyote ile.kwahiyo mafwele utauwa?
Jasusi la Mbinguni, ambalo ni Jasusi la Tanzania piaaaa Kwa kikao na majasusi yenzake ya hadhinza juuu ambayo mengine yalibadilishwa ,mengine yamestaafu, yamesema SASA BAAAAASI !!.Gwajima kashafungua CODE kwanini utekaji hauishi.
Ameshauri kwamba IGP,CDF,DGIS wakishateuliwa na mamlaka basi wasitenguliwe hovyo hovyo maana inaweza ikatokea kupinga utekelezaji wa issue ambazo hazina manufaa kwa nchi na akafukuzwa...ili kumlinda inabidi asitumbuliwe hovyo hovyo....Gwajima akauliza mbona DGIS wamebadilika mara tatu kwa muda mchache? Nadhani ushapata JIBU.
Ww unaionaje?.Kwahiyo tukubari kutekwa na kuuliwa mpaka huo mwezi wa 8?
NdioKwahiyo tukubari kutekwa na kuuliwa mpaka huo mwezi wa 8?
Kwahiyo tukubari kutekwa na kuuliwa mpaka huo mwezi wa 8?