Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 15, 2021 #41 Anatukaribisha...
avogadro JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 8,082 Reaction score 14,457 Aug 15, 2021 #42 Hana lolote anasoma vipropaganda vya kijinga vya waliochanjwa kuwaka bulb na sumaku na kuwadanganya misukule wake
Hana lolote anasoma vipropaganda vya kijinga vya waliochanjwa kuwaka bulb na sumaku na kuwadanganya misukule wake
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 Aug 15, 2021 #43 Yaani niende kanisa lake la mabati kusikiliza mipasho? Bora nibaki home nile mbususu huku nikisikiliza Ndombolo ya solo. Yeye asichanjwe ni fresh tu,asione kama ni issue ya maana kwa wenye akili.
Yaani niende kanisa lake la mabati kusikiliza mipasho? Bora nibaki home nile mbususu huku nikisikiliza Ndombolo ya solo. Yeye asichanjwe ni fresh tu,asione kama ni issue ya maana kwa wenye akili.