Simama imara kijana katika maishaRehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
another pyramid scheme........
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.

AMAZONE - D9Nimecheza sana amazon, D9! Ila kwa sasa nimeacha biashara hii ni nzur kwa sababu watu wa mwazo huwa wanalipwa na wanaoingia so ni rahisi kurudisha hela kama utakuwa mtu wa networking ila rem lazima watu waliwe mwisho wa siku na inategemea ipo hatua gani! Tatizo binadamu tuna tamaa mtu akipata anafungua acc zaid na zaid so ikifa unakuwa umelose!
Ndio hyo mkuu
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
another pyramid scheme........
Malipo yanaendaje mkuu?Umekariri bro, I am getting paid