Bitclub advantage

Bitclub advantage

Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
 
Attachments

Nimecheza sana amazon, D9! Ila kwa sasa nimeacha biashara hii ni nzur kwa sababu watu wa mwazo huwa wanalipwa na wanaoingia so ni rahisi kurudisha hela kama utakuwa mtu wa networking ila rem lazima watu waliwe mwisho wa siku na inategemea ipo hatua gani! Tatizo binadamu tuna tamaa mtu akipata anafungua acc zaid na zaid so ikifa unakuwa umelose!
AMAZONE - D9

Ni hio kitu apo juu mkuu? nimejaribu kuggogle
 
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF.
Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online business na makao yao makuu yapo Brazil. Nitashukuru nikipewa habar zao nikijua hapa JF nikisima cha maarifa

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app

Ni kweli na wala si utapeli, ni fursa nzuri kabisa ya kuwekeza, mimi ni member, kwa maelekezo zaidi njoo PM ibanga
 
wakuu samahanin san <br />naomba mtu au watu amabo wanauzoefu na biashara ya vifaa vya simu(phone accessories) kutoka kenya au Zanzibar kwa bei ya jumla vifaa hvyo ni km vile mics,system chargers, screen touches, glass protectors, earphones, phone covers,chargers,USB cables,carbons, speakers, motherboard,memory cards, flash, battery, nk. nahitaji kujua bei ya jumla kwa hayo maeneo mawili(kenya na zanzibar) na wapi ni nafuu zaid na maeneo ambayo ni dominant kwa kuuza hvyo vifaa kwa bei ya jumla msaada plzzz wakuu<br /> cont: +255769939879<br />whatsapp na voice call online 24/7
 
another pyramid scheme........

Umekariri kiongozi fursa hii ni real, kama kuna yeyote anashawishika lakini Ana doubt njoo pm nikupe somo, mnaziachia fursa kizembe kwa kusikiliza walio nje ya game come to me
 
Back
Top Bottom