Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee,na walikuwa wakihamasisha sana wengine kwani walikuwa wananufaika na kamishen,sasa hata hizo kamishen zimeng'ang'aniwa.Shida ni kwamba watu huwa wanakurupuka bila kupata taarifa sahihi. Kama wangepata taarifa sahihi hata wasingeingia kwenye bitclub,wangenunua cryptoz as individuals na kuweka kwenye wallets zao hasa kwenye cold wallets,hapo unaweza kuziuza mda wowote unaotaka hata kama ni kwa hasara. Watu wavivu sana kujisomea taarifa sahihi ndio maana wanakua easily scammed. Crytocurrency ni shule ndefu na sio kitu cha kuskia tu na ukakimbilia,wajinga ni wengi acha waliwe tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee,!ni shida.Hapo kwenye ukitonga ndio panapotumaliza hasa sisi wabongo,unakuta mtu ana laki mbili halafu ndani ya mwezi anataka awe na milion 10 kweli??