Tetesi: Bitclub ni shida

Shida ni kwamba watu huwa wanakurupuka bila kupata taarifa sahihi. Kama wangepata taarifa sahihi hata wasingeingia kwenye bitclub,wangenunua cryptoz as individuals na kuweka kwenye wallets zao hasa kwenye cold wallets,hapo unaweza kuziuza mda wowote unaotaka hata kama ni kwa hasara. Watu wavivu sana kujisomea taarifa sahihi ndio maana wanakua easily scammed. Crytocurrency ni shule ndefu na sio kitu cha kuskia tu na ukakimbilia,wajinga ni wengi acha waliwe tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee,na walikuwa wakihamasisha sana wengine kwani walikuwa wananufaika na kamishen,sasa hata hizo kamishen zimeng'ang'aniwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…