snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,437
- 2,043
Katika thread hii sitazungumzia ni Nini maana ya Bitcoin mana naamini mada hizo zipo, ila ntaenda Moja kwa Moja kuzungumzia halving.
Satoshi Nakamoto kwenye code za Bitcoin Blockchain aliona ni vyema kuzingatia baadhi ya mambo ili kuifanya BTC iwe inflatable, Ikiwa kama fedha ya kawaida inaweza kuongezewa supply na kuifanya ikabadikika thamani je itakuaje kwenye BTC ?
BTC HALVING ni kitendo Cha Bitcoin kujigawa mara mbili Kila baada ya miaka minne, katika utoaji wa zawadi kwa wale Bitcoin miners au watu ambao wanawezesha transaction za BTC kufanyika mpaka pale BTC itakapofikia M21 katika mzunguko hapo miners hawataweza kupewa rewards tena, na hii iliwekwa ili kufanya thamani ya BTC kuweza kubadilika ikiwa miners wataweza kupungua au kuongezeka.
Tukio hili ni muhimu ktk ulimwengu wa Sarafu za Kidijitali kwakua thamani ya BTC Huwa Ina control assets nyingine nyingi sana duniani ikiwemo shit coin na Sarafu nyingine za Kidijitali,
Bitcoin halving hutokea Kila mwaka pale block rewards zinapofikia 210k mfano, halving ilianza kutoka kwenye 50BTC 2009 ikaenda 25BTC mwaka 2012, ikaja 12.5BTC mwaka 2016 kutoka hapo 2020 ikawa 6.25BTC na mwaka huu itaenda mpaka 3.125BTC
KITENDO CHA HALVING KINA ATHIRI VIPI THAMANI YA BTC ?
Baada ya halving kufanyika rewards wanazopata wanaoufanya mining hupungua Hadi kufika nusu ya KIWANGO walichokuwa wakipata awali,
Kitendo hiki hufanya upungufu au scarcity ya BTC kwenye circulation kwasabu zinakuwa hazizalishwi kama awali. Na hivyo baadhi ya kampuni za mining huweza hata kufunga biashara Yao kwahiyo thamani ya BTC Huwa Ina athirika.
Mpaka ninapoandika hii thread Bitcoin countdown ilitabiliwa iwe tarehe 19 April lakini inaweza kuwa mbele au nyuma mpaka Sasa tumebakiwa na almost block heigh ya 12.6k ili kufikia 840k ambapo halving itafanyika.
JE HII NI FURSA KTK UWEKEZAJI ?
Mwaka huu BTC imehit Tena high iliyofika 71000$ exchange rate per 1 BTC lakini kawaida hatushauliwi kubuy high kwenye market yeyote ispokuwa tubuy when price is low, Bitcoin inaendeshwa na FOMO pamoja hype lakini baadhi ya investors wanasau matukio ya msingi kama haya ambayo mentors wengi hawafundishi kwasabu ni more technical.
Kabla ya kufanya investment DYOR (Tambua hatari yako mwenyewe ktk uwekezaji)
Binafsi napendelea Dex ktk kuhifadhi crypto na pia coin kama BTC hutumia wallet za brokers kama Ex-Markets.com na Binary.com mana naweza deposit na kuwithdraw bila middle man na pia naweza hamisha kwenye trading account za margin.
Ikumbukwe halving pia hufanyika kwenye coin za aina nyingine kama vile Litecoin ambayo nayo tunategemea ifanyike mwaka huu huu, na thamani ya BTC inapochange pia coin nyingine nyingi hubadilika hata shit coin.

Bitcoin
halving countdown.
Bitcoin
halving countdown.
16
DAYS
:
22
HOURS
:
59
MINUTES
:
15
SECONDS
Halving Date ETA: 20 April 2024, 03:42 UTC
840,000
Event Block Height
837,491
Current Block Height
584.0
Block Time
USD 66319.3
Exchange Rate
BTC 1.30 t
Market Cap
83.127 t
Difficulty