Bitcon Itaua Watu

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,525
Reaction score
3,139
leo thamani yake imeporomoka balaa....yaani jana rate yake kati ya tshs na bitcoin ilikuwa 1 bitcoin= 21 tshs milions na ushee hv ...ila leo thamani yake ni 1 bitcoin= tsh 15,990,501 ni anguko kubwa sana la bitcoin ikumbukwe kuwa mwezi kama mmoja uliopita thamani ya bitcoin ilifikia 1bitcoin = tshs 45 millions

My take: wenye bitcoins uzeni fasta hii crypto-currency inaenda kufa hata mshindani wake wa karibu ethereum naye ameporoka ingawa yeye hajaathirika sana kama bitcoin
 
Na keshao inaweza ikarudi $20,000 au ikaenda $1000. Hii ni kamali tu, chezea ukijua hilo.
 
Mpaka muda huu navyoandika Thaman ya Bitcoin imeporomoka mpaka kufikia $ 6190 .. Hii nibaada ya Uchina kusema inapanga kuzuia tharafu hii !!.
 
Na keshao inaweza ikarudi $20,000 au ikaenda $1000. Hii ni kamali tu, chezea ukijua hilo.
Mkuu imeshashuka,,,, habar ya mtoa Uzi ulikua ya wiki ilopita ,ila Leo imeporomoka Mpaka kufikia $6190
 
Bilionea George Sollos ,mbali na utajiri wake ,Bado anaiponda Bitcoin ,, sembuse weee mwenye hela yanyanya??.

Kuna huyu bilionea mmoja (nmemsahau) majuzi kati kaamua kuuza sarafu zake zote anakuambia 'Nauza Ili nitoe nafasi ya kuingiza mambo *mapya na bora*
 

Wauze ili ununue ehhh[emoji848]
 
Ukiuza unapewa nini PESA ZA KAWAIDA au BITCOINS ??
 
Sasa wakiuza watamuuzia nani, wakati kila mtu anauza, nani atabaki nazo
 
itapanda tu sisi kama wataalam wa Forex hyo Pattern tunaita Dinosaur.
hyo currency haipenda tena ndo inaenda kufa kibudu labda ethereum ndo itapanda na ndio sehemu sahihi ya kuwekeza kwa future
 
hyo currency haipenda tena ndo inaenda kufa kibudu labda ethereum ndo itapanda na ndio sehemu sahihi ya kuwekeza kwa future

Kutetea hii kitu unakuja na analysis me nimeweka analysis zangu juu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…