yorkshire
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 2,525
- 3,139
leo thamani yake imeporomoka balaa....yaani jana rate yake kati ya tshs na bitcoin ilikuwa 1 bitcoin= 21 tshs milions na ushee hv ...ila leo thamani yake ni 1 bitcoin= tsh 15,990,501 ni anguko kubwa sana la bitcoin ikumbukwe kuwa mwezi kama mmoja uliopita thamani ya bitcoin ilifikia 1bitcoin = tshs 45 millions
My take: wenye bitcoins uzeni fasta hii crypto-currency inaenda kufa hata mshindani wake wa karibu ethereum naye ameporoka ingawa yeye hajaathirika sana kama bitcoin
My take: wenye bitcoins uzeni fasta hii crypto-currency inaenda kufa hata mshindani wake wa karibu ethereum naye ameporoka ingawa yeye hajaathirika sana kama bitcoin