Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
posibillity ya kwenda juu ni kidogo sn kama umefutilia vzr toka imeanza kuporoka kuna kipindi inakomaa kupanda juu lkn kadri inavyojaribu kung'ang'aniza kupanda ndivyo speed kushuka chini inavyokuja kuwa kaliNa keshao inaweza ikarudi $20,000 au ikaenda $1000. Hii ni kamali tu, chezea ukijua hilo.
Sasa wakiuza watamuuzia nani, wakati kila mtu anauza, nani atabaki nazo
Kumbe ndio mana unajiamimi aisee ni mdau wa Haya mambo? Kweli utajili ni kuamua tuKutetea hii kitu unakuja na analysis me nimeweka analysis zangu juu pale
Kakwambia nani haitopanda?? we hujaona hata mtikiso ulio tokea kwenye stock market???hyo currency haipenda tena ndo inaenda kufa kibudu labda ethereum ndo itapanda na ndio sehemu sahihi ya kuwekeza kwa future
Analysis tuu kwenye hiyo graph insnesha ulivyo mbahatishaji(gambler) halafu unajiita mtaalamu? Au mtaalam wa kuchora midoli!itapanda tu sisi kama wataalam wa Forex hyo Pattern tunaita Dinosaur.![]()
Bitcoin ya havyo sana nakumbuka two years back nilikuwa najihusisha nayo ila issue ni kuwa muuzaji anataka akuuzie kwa bei kubwa na kimbembe kinakuja pale wewe ukitaka kuuza wateja wanataka uwauzie kwa bei ndogoSasa wakiuza watamuuzia nani, wakati kila mtu anauza, nani atabaki nazo
Aise Duuuu mpunga mrefu lakini kwenye biashara kuna faida na hasara.Think you had a rough day in crypto..
Mark Zuckerberg lost $3.6 billion today.
Jeff Bezos lost $3.2 billion.
Google's founders lost $2.3 billion, each.
Bill Gates lost $2.2 billion.
(Source: Bloomberg)
Analysis tuu kwenye hiyo graph insnesha ulivyo mbahatishaji(gambler) halafu unajiita mtaalamu? Au mtaalam wa kuchora midoli!
watu wengine kujibizana nao ni unnecessary waste of my valuable calories, hopeless kabisa.Ukiulizwa hata Japan Candlestick ni nin utatokwa povu [emoji3][emoji3][emoji3] sie wenzio tunaitrade against USD(BTCUSD) tunatengeneza hela we unaita gambler kasome Forex utaelewa nimechora nini hapo