Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vip poti ulikuwepo kwenye mkutano wa mbunge wakoWakilewa Wanzuki wanazing'oa Bendera za CCM kwa hasira.
Niko Buseresere/Katoro.Vip poti ulikuwepo kwenye mkutano wa mbunge wako
Umehama runzeweNiko Buseresere/Katoro.
Acha kupiga watu fix, uko kwenye mikutano ya lisu jimboni kwake.Niko Buseresere/Katoro.
Nimeenda kikazi.Umehama runzewe
Msing'oe bendera ya chama chochote , bendera haipigi kura, ushinde ubaya kwa wema - Dkt. Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto biteko akizungumza leo juni 6, 2024 katika mkutano wa hadhara jimboni bukombe mkoani Geita.
Huyu jamaa Anakitu kichwani, kama hata yumbishwa namuona mbali kwenye uwanja wa siasa. 🤝
shallow mind, kukataza bendera, basi amequalify as a democratic politician?Huyu jamaa Anakitu kichwani, kama hata yumbishwa namuona mbali kwenye uwanja wa siasa. 🤝
Safi sana👋👋Huyu jamaa Anakitu kichwani, kama hata yumbishwa namuona mbali kwenye uwanja wa siasa. 🤝
Kuna ukweli wowote hapa??..mwanae kagame.
😄😄, Magugu yakizidi kwenye shamba la mpunga, inatakiwa kung'olewa haraka iwezekanavyo.Safi sana👋👋
Hao jamaa zetu wa Sisiem, ndiyo huwa wanapoona viongozi wao wa Sisiem, wanakuja kutembelea sehemu fulani, huwa wanang'oa bendera za Chadema, utadhani Wana "allergy" na hizo bendera!😅