Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!

Mara ya kwanza nilikuwa simkubali bitoz Nakumbuka kipindi anaingia jf alikuwa anapakubali Sana maskani za kwao huko mabibo baadae amekuja kuanzisha hii kitu makapuku Kwa kweli imeshika wengi.. Japo Sijawahi kuingia na sijui huwa wanapiga story zipi Lakini wana peana Sana support.. Respect kwako bitoz.. Sasa hivi wewe sio upcoming tena ni bonge LA star kijana wangu
 
Shukrani mkuu

Kapuku Forum ndo thread iliyobamba kuliko zote tangu JF ianzishwe
*Thread iliyofikisha views 1m + ndani kipindi kifupi
*Thread yenye replies nyingi(inashikilia rekodi) japo haijatimiza hata mwaka mmoja
*Thread pekee ambayo ipo active daily(hakuna siku ambayo haijachangiwa)
*Thread pekee ambayo haichoshi maana swaga zinabadilikabadilika

Halafu mkuu mimi siyo super star km kina Ngedele bali mimi ni kapuku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaha bitoz kumbe ligi na monkey mmarekani bado Lina endelea.. Asee jf hii thread ya makapuku imefanya jf izidi kunoga.. Sasa ni poa.. Nakuja makapuku bitoz Naomba unipokee CEO WA makapuku na waandamiz wako kina bally na jimena.. Soon nakuja
 
Pamojaaa sana kapuku mwenzangu japo ulinitangulia ila nimejifunza mengii kupitia thread zako mkuu
 
Hahahahaha bitoz kumbe ligi na monkey mmarekani bado Lina endelea.. Asee jf hii thread ya makapuku imefanya jf izidi kunoga.. Sasa ni poa.. Nakuja makapuku bitoz Naomba unipokee CEO WA makapuku na waandamiz wako kina bally na jimena.. Soon nakuja
Ngedere Ungabure boya sana ana nyodo tangu nikiwa mgeni ananitusi tu.....anaboa
Usishangae sana eti anakaa porini USA
USA[emoji117] United Sisters of Anduje
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…