Bitoz: Namaliza mwaka vizuri !!!

Nawe
Naomba tuondoe tofauti kati yetu najua mwaka huu nilikuzingua sana....unisamehe

Tuanze mwaka 3017 tukiwa marafiki badala ya maadui
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo...
 
Nawakaribisha Uswahilini kwetusherehekee x mas tumeandaa togwa za kutosha
 
Pamoja sana sana, kwan nakumbuka mara ya kwanza kuchangia kwenye uzi pendwa a.k.a la wababe (makapuku) ulinikarbisha, then ukaniambia nichangamke ili niwe kwenye ordha ya makapuku na kwel nikawa mojawapo ........ivi huwez badilisha hilo jina "makapuku" kwenda jina jingine?


note: nawaza tuu na si muhimu
 
Kubadili heading ni Mod pekee anayeweza ila sioni sababu ya msingi maana kapuku ndo neno lililotutoa na lina historia na sababu zake

Sasa kulibadilisha ni sawa na Chakupewa atoke kijijini aje Dar kutafuta maisha halafu akishafanikiwa ajiitePrince

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…