Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mwanagati kweliWe jamaa ni tapeli tu ...si useme unakaa K/koo
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo...Nawe
Naomba tuondoe tofauti kati yetu najua mwaka huu nilikuzingua sana....unisamehe
Tuanze mwaka 3017 tukiwa marafiki badala ya maadui
Ila sasa nimerejea kwa nguvu kubwaUlipotea tangu Melo asekwe rumande 😀 😀 😀
Mtoto wa Mabibo beachUmejificha swahiba upo na Faru Chausiku nini?
Acha mikwaraMnaoisimanga Mabibo Mungu anawona
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kubadili heading ni Mod pekee anayeweza ila sioni sababu ya msingi maana kapuku ndo neno lililotutoa na lina historia na sababu zakePamoja sana sana, kwan nakumbuka mara ya kwanza kuchangia kwenye uzi pendwa a.k.a la wababe (makapuku) ulinikarbisha, then ukaniambia nichangamke ili niwe kwenye ordha ya makapuku na kwel nikawa mojawapo ........ivi huwez badilisha hilo jina "makapuku" kwenda jina jingine?
note: nawaza tuu na si muhimu