Bitter pill
JF-Expert Member
- Jun 10, 2017
- 917
- 781
Naomba wakenya waweke humu link yoyote Inaonyesha media za Tanzania zikisifia wanawake wa kenya. Povu rukhsa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu rukhsa,anyway,umeona hiyo statement"if u want a wife to introduce to u r parents,go to Bongo and get one",kama wapo, mbona hamuishi kusifia warembo wa bongo?nimekimbia hapa kuona bitter truth kumbe ni upuuzi...pumbavu mkubwa wewe...sasa hivi hatuna wakati wa kujadili ujinga na wakaazi wa LDC...rais anawasili Bomas of Kenya punde....na pengine nikukosoe tu weye pimbi wa Manzese, warembo wapo Kenya pia...tena wengi sana..naweza nikakupa link ila sio sasa hivi..hatuhitaji hivyo vimejipaka paka vijirangi na ku bleach nyuso mpaka zimefanana na mazingaombwe...
haya peleka petition kwa Supreme Court...lakini upumbavu hatutaki...tupo katika nyakati ngumu kisiasa...wahenga walisema...there is time for everything...yaani kuna wakati wa kucheka na wakati wa kuwa serious...mambo ya kutuambia sijui wanawake sijui bitter truth...hayo ni mambo ya kitoto na inaonyesha jinsi ulivyo na akili ndogo sana...sasa hivi tupo live Bomas Of Kenya...a very important event that will transform this country either positively or negatively...kwa hiyo, weka on hold habari hii...we shall revisit it...watoto wakachezee kule njee wazee waongee kwanza....asantePovu rukhsa,anyway,umeona hiyo statement"if u want a wife to introduce to u r parents,go to Bongo and get one",kama wapo, mbona hamuishi kusifia warembo wa bongo?![]()
Kazi na dawa,weka hizo picha unazotishia hapa.haya peleka petition kwa Supreme Court...lakini upumbavu hatutaki...tupo katika nyakati ngumu kisiasa...wahenga walisema...there is time for everything...yaani kuna wakati wa kucheka na wakati wa kuwa serious...mambo ya kutuambia sijui wanawake sijui bitter truth...hayo ni mambo ya kitoto na inaonyesha jinsi ulivyo na akili ndogo sana...sasa hivi tupo live Bomas Of Kenya...a very important event that will transform this country either positively or negatively...kwa hiyo, weka on hold habari hii...we shall revisit it...watoto wakachezee kule njee wazee waongee kwanza....asante