Gibeath-Elohimu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2014
- 487
- 700
Acha pressure Kamanda....tuliza ndonga panga jeshi upya,tafuta kambi nyingine....huyo alisha nyea kambi so kuendelea kubaki hapo ni kutafuta kunuka kinyesi chake....haya mguu pande,mguu sawa...mbeleeee geukaa....tembeaaa👮👮💂♂️5 anh a half years was not a joke, namchukia sana kwasababu nampenda sana,am depressed,may God curse her
You are totally wrong sweetdarlNyuma ya maandishi yako kwa sisi tuliosoma psychology tunaona kabisaa kuna ka maumivu fulani hivi bado unacho sema unajizuia kukubali🤣🤣.....yaani bado una kachembe ka kukumbuka good memories🤣🤣🤣....ni Mimi mwana psychology.
Haya bana sweetie kumbuka sie ni wataalam wa psychology.....as long as unakata mie nani nikukomalie mamii😁😁😁...Ila tafakari kidogo utagundua.You are totally wrong sweetdarl
Mna tabia ya kujumuisha mambo, nina mambo mengi ya kuumizwa nayo sio habari za ex,Haya bana sweetie kumbuka sie ni wataalam wa psychology.....as long as unakata mie nani nikukomalie mamii😁😁😁...Ila tafakari kidogo utagundua.
Pole sana kamandaningekua mwandishi mzuri ningeandika thread vijana wenzangu wajifunze kupitia yaliyonikuta. nilifikia nae hatua ya kufunga ndoa,wakati naandaa mahari binti alianza kubadilika akaanza kuweka demands kubwa zaidi ya kipato changu,alianza kuforce nipange chumba na seble na anaelewa kipato changu kidogo,tulibishana sana kuhusu hilo suala hatimaye akaniambia nifanye maamuzi niyatakayo ila yeye hayupo tayari kuishi chumba kimoja,nikaamua tu kusitisha ndoa
kikubwa pumziPo
Pole sana kamanda
kikubwa pumziAcha pressure Kamanda....tuliza ndonga panga jeshi upya,tafuta kambi nyingine....huyo alisha nyea kambi so kuendelea kubaki hapo ni kutafuta kunuka kinyesi chake....haya mguu pande,mguu sawa...mbeleeee geukaa....tembeaaa👮👮💂♂️
maana hakuna namna Mkuukikubwa pumzi
Dah nakumbuka sana sweet memories, ila muache atajisifia sana akijua nammiss shenzi....😛
Mie wala sitii neno dear ni vyema kuwa una mambo mengine ya kukupigisha mchakamchaka na siiii😁😁😁Mna tabia ya kujumuisha mambo, nina mambo mengi ya kuumizwa nayo sio habari za ex,
Uking'ang'anizi wa mapenzi yaliyopita huwa naufananisha na kung'ang'ania mtu kubaki ktk umri mdogo Ni kitu ambacho hakiwezekani,
Yes yes maisha ndivyo yalivyo,Mie wala sitii neno dear ni vyema kuwa una mambo mengine ya kukupigisha mchakamchaka na siiii😁😁😁
asante bro,kuna muda natamani niingie kwenye akili yake nibadili msimamo wake
Raha nazopewa kwa sasa huko nilikotoka nilikuwa jehanamu, hizo bittersweet zitokee wapi,, Asante Mungu kunitolea roho ya ung'ang'anizi, hata wazo tu naonaga najidhalilisha
Sawa bwana kifoMtaachana tu.[emoji276]
Nimependa msimamo wako...safi sana,cha msingi ni kujijali kwanza wewe😜😜Yes yes maisha ndivyo yalivyo,
nimemuacha akaolewe na mwenye uwezo zaidi ndo sababu sijamlazimisha akubaliane na hali yanguSijaona kosa lake, labda kama kuna mengine hujaamua kufunguka.
Namna pekee ya kuingia kwake ni kupata hela, alikwambia ukweli mchungu ukanuna bila tafakuri.
Chumba kimoja ni kwamba maisha yako ni magumu mno, hata wewe bado hujajimudu ila ulitaka umuoe tu ili abaki kwenye maisha yako.
Kama unampenda kweli na hajaolewa basi jipange ukamchukue, ila hakikisha ushajimudu kwanza mwenyewe.
Tafuta PESA ujimudu kabla hujaamua KUOA, mambo ya mtaanzia chini ni MZIGO hata kwako mwenyewe.
God sasa,5 anh a half years was not a joke, namchukia sana kwasababu nampenda sana,am depressed,may God curse her