Bittersweet situation baada ya kuachana

Bittersweet situation baada ya kuachana

5 anh a half years was not a joke, namchukia sana kwasababu nampenda sana,am depressed,may God curse her
Acha pressure Kamanda....tuliza ndonga panga jeshi upya,tafuta kambi nyingine....huyo alisha nyea kambi so kuendelea kubaki hapo ni kutafuta kunuka kinyesi chake....haya mguu pande,mguu sawa...mbeleeee geukaa....tembeaaa👮👮💂‍♂️
 
Nyuma ya maandishi yako kwa sisi tuliosoma psychology tunaona kabisaa kuna ka maumivu fulani hivi bado unacho sema unajizuia kukubali🤣🤣.....yaani bado una kachembe ka kukumbuka good memories🤣🤣🤣....ni Mimi mwana psychology.
You are totally wrong sweetdarl
 
Haya bana sweetie kumbuka sie ni wataalam wa psychology.....as long as unakata mie nani nikukomalie mamii😁😁😁...Ila tafakari kidogo utagundua.
Mna tabia ya kujumuisha mambo, nina mambo mengi ya kuumizwa nayo sio habari za ex,

Uking'ang'anizi wa mapenzi yaliyopita huwa naufananisha na kung'ang'ania mtu kubaki ktk umri mdogo Ni kitu ambacho hakiwezekani,
 
Po
ningekua mwandishi mzuri ningeandika thread vijana wenzangu wajifunze kupitia yaliyonikuta. nilifikia nae hatua ya kufunga ndoa,wakati naandaa mahari binti alianza kubadilika akaanza kuweka demands kubwa zaidi ya kipato changu,alianza kuforce nipange chumba na seble na anaelewa kipato changu kidogo,tulibishana sana kuhusu hilo suala hatimaye akaniambia nifanye maamuzi niyatakayo ila yeye hayupo tayari kuishi chumba kimoja,nikaamua tu kusitisha ndoa
Pole sana kamanda
 
Acha pressure Kamanda....tuliza ndonga panga jeshi upya,tafuta kambi nyingine....huyo alisha nyea kambi so kuendelea kubaki hapo ni kutafuta kunuka kinyesi chake....haya mguu pande,mguu sawa...mbeleeee geukaa....tembeaaa👮👮💂‍♂️
kikubwa pumzi
 
Mna tabia ya kujumuisha mambo, nina mambo mengi ya kuumizwa nayo sio habari za ex,

Uking'ang'anizi wa mapenzi yaliyopita huwa naufananisha na kung'ang'ania mtu kubaki ktk umri mdogo Ni kitu ambacho hakiwezekani,
Mie wala sitii neno dear ni vyema kuwa una mambo mengine ya kukupigisha mchakamchaka na siiii😁😁😁
 
I always dump watu ninaowapenda sana.
Mi kukupenda sana halafu mambo meusi, ndo sababu ya kuacha mtu.

Mtu kama simpendi, naweza kaa nae hata miaka.
Ila ninayempenda halafu simwelewi.
Yani nakata kubwa kubwa ,nzima nzima!

Paaap, vinauma vinaisha basi.
Hata visipoisha kuuma, sirudiii na bado nakuwa nampenda.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Sisi scorpions tuna shida zetu binafsi.
 
asante bro,kuna muda natamani niingie kwenye akili yake nibadili msimamo wake

Sijaona kosa lake, labda kama kuna mengine hujaamua kufunguka.

Namna pekee ya kuingia kwake ni kupata hela, alikwambia ukweli mchungu ukanuna bila tafakuri.

Chumba kimoja ni kwamba maisha yako ni magumu mno, hata wewe bado hujajimudu ila ulitaka umuoe tu ili abaki kwenye maisha yako.

Kama unampenda kweli na hajaolewa basi jipange ukamchukue, ila hakikisha ushajimudu kwanza mwenyewe.

Tafuta PESA ujimudu kabla hujaamua KUOA, mambo ya mtaanzia chini ni MZIGO hata kwako mwenyewe.
 
Raha nazopewa kwa sasa huko nilikotoka nilikuwa jehanamu, hizo bittersweet zitokee wapi,, Asante Mungu kunitolea roho ya ung'ang'anizi, hata wazo tu naonaga najidhalilisha

Mtaachana tu.[emoji276]
 
Sijaona kosa lake, labda kama kuna mengine hujaamua kufunguka.

Namna pekee ya kuingia kwake ni kupata hela, alikwambia ukweli mchungu ukanuna bila tafakuri.

Chumba kimoja ni kwamba maisha yako ni magumu mno, hata wewe bado hujajimudu ila ulitaka umuoe tu ili abaki kwenye maisha yako.

Kama unampenda kweli na hajaolewa basi jipange ukamchukue, ila hakikisha ushajimudu kwanza mwenyewe.

Tafuta PESA ujimudu kabla hujaamua KUOA, mambo ya mtaanzia chini ni MZIGO hata kwako mwenyewe.
nimemuacha akaolewe na mwenye uwezo zaidi ndo sababu sijamlazimisha akubaliane na hali yangu
 
5 anh a half years was not a joke, namchukia sana kwasababu nampenda sana,am depressed,may God curse her
God sasa,
Haaaana hata muda wa kulaani KIUMBE chake eti kisa kuna KIUMBE chake kingine kinateseka.

Anambariki!
Anamlinda!
Anampa Kheri!

Ndo njia za Mungu, si unajua kuwa hatoki kijijini kwenu enh?
Basi ndo hivo.
 
Back
Top Bottom