Bittersweet situation baada ya kuachana

Bittersweet situation baada ya kuachana

Hivi ushawahi kuachana na mtu ambaye bado unampenda? Then unaanza kukumbuka zile memories ambazo mmekua pamoja. Unakuta memories zinakuumiza lakini at the same time unaenjoy [emoji23]

Imeshawahi kukutokea situation kama hii (bittersweet situation)?

Sasa kwanini uachane na mtu unayempenda?unakubali vipi yaani?si unatumia mbinu za kijeshi msiachane😀😀
 
Tunaachana ili tupate mwingine aliye bora zaidi...

Ishu ni pale unapomtosa 'demu' kisu halafu unakuja angukia kwa kipori...

---excuse my language---
Huyo kipori ulifumbwa macho jirani?

🤣🤣🤣

Ama ulimchukua sokoni ukabambikwa kama nyanya mbovu.

🤭🤭🤭🤭🤫🤫🤫🤫Sorry jirani yangu kipenzi 🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️
 
Huyo kipori ulifumbwa macho jirani?

🤣🤣🤣

Ama ulimchukua sokoni ukabambikwa kama nyanya mbovu.

🤭🤭🤭🤭🤫🤫🤫🤫Sorry jirani yangu kipenzi 🤷🏿‍♀️🤷🏿‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️🏃🏽‍♀️

Hahah huwa inatokea jirani...

Yaani ukiwa kabisa na akili timamu unajipata umeruka jivu then waenda kanyaga moto...
 
Hahah huwa inatokea jirani...

Yaani ukiwa kabisa na akili timamu unajipata umeruka jivu then waenda kanyaga moto...
Ndo maana tunakaaga halafu tunacheka sana from nowhere yaani.

Tunayokumbana nayo through the journey of life yanachekesha sometimes.
 
Jamanii 2 years has passed,sija move on kabisaa,mwenzangu kashapata na mtoto,Mimi nakwama wapi?
I think it's not your fault that you havent found someone better yet.

Truth is, no guarantee that you will find that better person; hope you will, just dont look for your X in the guys you meet/date.
 
I think it's not your fault that you havent found someone better yet.

Truth is, no guarantee that you will find that better person; hope you will, just dont look for your X in the guys you meet/date.
Hapo kwenye truth ndo panapoumiza,2 years no better person,so should I wait more,or it is time to settle for less
 
Hapo kwenye truth ndo panapoumiza,2 years no better person,so should I wait more,or it is time to settle for less
Mhm wee kweli pisi kali ama hiyo picha ya mwanamke mwengine? Sijawahi ona pisi kali iki settle for less
 
Mhm wee kweli pisi kali ama hiyo picha ya mwanamke mwengine? Sijawahi ona pisi kali iki settle for less
U don't deserve my reply
 
Back
Top Bottom