God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
poa sana inapendeza kwa kweli, kumbe yupo sehemu nyingine muhimu ya muziki basi sawaMishi! Mishi!
Hahaha...mziki wetu umetoka mbali sana.
Jamaa yupo ni mpiga keyboard mzuri sana hivyo hutumiwa na maproducer mbali mbali.
iko wap hio studio?Njoo Soundcrafters studio unamkuta anatandika vinanda
Ipo Temeke maeneo ya Sokotaiko wap hio studio?
Producer Enrico bado yuko studio hiyo?Njoo Soundcrafters studio unamkuta anatandika vinanda
Enrico ndo C.E.O paleProducer Enrico bado yuko studio hiyo?
Mishi! Mishi!
Hahaha...mziki wetu umetoka mbali sana.
Jamaa yupo ni mpiga keyboard mzuri sana hivyo hutumiwa na maproducer mbali mbali.