Bizman yupo wapi siku hizi?

Bizman yupo wapi siku hizi?

06a7dae13414a5895686881236768926.jpg
 
Shukrani sana mtoa mada, juzi nikitaka kuanzisha mada ya kumuulizia huyu jamaa.

Asante pia kwa mliosema yupo hapo temeke anaendelea na muziki akipiga kinanda. Safi sana.
 
Mishi! Mishi!
Hahaha...mziki wetu umetoka mbali sana.
Jamaa yupo ni mpiga keyboard mzuri sana hivyo hutumiwa na maproducer mbali mbali.

Kile kinanda cha nitoke vipi cha bwana misosi kagonga yeye..kwa kifupi nyimbo ile yote ina mkono wake..yuko vizuri..hata kibanda cha simu ya soggy doggy kila kinanda cha kulalamika kagonga yeye..bizzman kawatoa wengi sana japo sifa wamekua wakipata wamiliki wa studio
 
Back
Top Bottom