Bla-bla za Watanzania ndani ya JamiiForums

Vipi kuhusu walozi😂
 
Mara acha pombe utafanikiwa , mara achana na mademu utafanikiwa , mara acha kula na kunywa , sijui na taka taka nyingine za kijinga jinga .

Hatuhitaji jamii ya aina hii kwenye kizazi hiki ili kufanikiwa kiuchumi gademitt.
Kwa mtu aliyelelewa na mzazi mwenye kipato Cha chini sana ambaye uchumi mzima wa familia umeharibika kutoka na ulevi wa mzazi au wazazi. Anaweza kuwa na maoni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…