Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,590
- 6,355
Ukala kimasiharaHapo umenena mkuu...hizi movies huwa zinaturahisishia Sana kupata game kimasihara..hata Kama Dem sio wako..ila akija geto akakuta hizo movies...mimi addicted ilinipa game ya bure bila kutarajia
Mimi bado narudia kuangalia ile movie ya Magufuli kunywa kahawa chato!Nimetoka kuangalia "The Banker".
Bonge la movie.
Majamaa mawili black yalicheza ndani ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa Marekani uliokataza watu weusi kumiliki nyumba.
Yakawa yanatumia watu weupe kununua nyumba, yakanunua mpaka ghorofa kubwa kabisa Los Angeles. Kisha yakaanxa kununua mabenki Texas na kuwapa mikopo watu weusi wajiendeleze.
Watu weupe walivyostukia mchezo, jamaa walinyanyaswa sana mpaka kufikia kuhojiwa bungeni.
Bonhe la movie.
Based on a true story.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Jamaa mmoja maisha Safi Ana mke wake,jamaa anamcontrol Sana Dem, jamaa hahitaji mtoto kwa muda huo..na anamuekea vitu flani ili asishike mimba..bdae Dem anakuja kusanuka Kisha anashika mimba alafu anafake ajali Kama amekufa ili amtoroke jamaa...Dem anaenda kuishi sehrm nyingne anabadilisha na jina...huko anapata msela wanapendana na mimba yake hvo hvo..akishajifungua yule msela wa mwanzo anakuja kufuatilia anagundua more hakufa..anamsaka anampata na mtoto wake..in short ipo hivoInahusiana na Nini hiyo?
ingine "Love for sale"
ngoja niipakue mzeeeNimetoka kuangalia "The Banker".
Bonge la movie.
Majamaa mawili black yalicheza ndani ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa Marekani uliokataza watu weusi kumiliki nyumba.
Yakawa yanatumia watu weupe kununua nyumba, yakanunua mpaka ghorofa kubwa kabisa Los Angeles. Kisha yakaanxa kununua mabenki Texas na kuwapa mikopo watu weusi wajiendeleze.
Watu weupe walivyostukia mchezo, jamaa walinyanyaswa sana mpaka kufikia kuhojiwa bungeni.
Bonge la movie.
Based on a true story.
The Banker on Apple TV+
The Banker (2020) - IMDb
Sent from my typewriter using Tapatalk
Nimetoka kuangalia "The Banker".

Naikubali hii movie
BabyBoy ya Tyrese na Snoopykidogo malove story bwana wee porn haina malove story